Mkuu wa Mkoa wa Kagera ndugu John Mongela aliamua kutembelea wilaya ya Kyerwa na Karagwe mnamo tarehe 29/1/2015 na 31/1/2015.Ziara ya mkuu wa Mkoa ililenga kutembelea miradi ya maji na ujenzi wa maabara wilayani Karagwe na Kyerwa. Jambo la kufurahisha katika ziara hii...